Maombolezo 5:22
isipokuwa uwe umetukataa kabisa 2 na umetukasirikia pasipo kipimo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But thou hast utterly rejected us; thou art very wroth against us.
In Context
Cross References
Psalms 44:9Lakini sasa umetukataa na kutudhili, 2 wala huendi tena na jeshi letu. 1
Psalms 74:1Ee Mungu, mbona umetukataa milele? 2 Mbona hasira yako inatoka moshi 2 juu ya kondoo wa malisho yako? 1
Isaiah 64:9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Jeremiah 14:19Je, umemkataa Yuda kabisa? 2 Umemchukia Sayuni kabisa? 1 Kwa nini umetuumiza 2 hata hatuwezi kuponyeka? 1 Tulitarajia amani, 2 lakini hakuna jema lililotujia; 1 tulitarajia wakati wa kupona 2 lakini kuna hofu kuu tu. 1
Ezekiel 24:13“ ‘Sasa uchafu wako ni uasherati wako. Kwa sababu nilijaribu kukutakasa lakini haikuwezekana kutakaswa kutoka kwenye huo uchafu wako, hutatakasika tena mpaka ghadhabu yangu dhidi yako iwe imepungua.
Hosea 1:6Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama, + 1:6 Lo-Ruhama maana yake Sio mpenzi wangu. kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.