Malachi 3:11
Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 8:13“ ‘Nitayaondoa mavuno yao, 4 asema Bwana. 2 Hapatakuwepo zabibu kwenye mzabibu. 1 Hapatakuwepo na tini kwenye mtini, 2 majani yake yatanyauka. 1 Kile nilichowapa 2 watanyangʼanywa.’ ” 1
Joel 1:7Limeharibu mizabibu yangu 2 na kuangamiza mitini yangu. 1 Limebambua magome yake 2 na kuyatupilia mbali, 2 likayaacha matawi yake yakiwa meupe. 1
Joel 2:20“Nitafukuza jeshi la kaskazini likae mbali nanyi, 2 nikilisukuma ndani ya jangwa, 1 askari wa safu za mbele wakienda 2 ndani ya bahari ya mashariki 1 na wale wa safu za nyuma 2 katika bahari ya magharibi. 1 Uvundo wake utapaa juu; 2 harufu yake itapanda juu.” 1 Hakika ametenda mambo makubwa. 2
Amos 4:9“Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu, 2 niliyapiga kwa kutu na ukungu. 1 Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1
Habakkuk 3:17Ingawa mtini hauchanui maua 2 na hakuna zabibu juu ya mizabibu, 1 ingawaje mzeituni hauzai, 2 na hata mashamba hayatoi chakula, 1 iwapo hakuna kondoo katika banda, 2 wala ngʼombe katika zizi, 1
Zechariah 8:12“Mbegu itakua vizuri, mzabibu utazaa matunda yake, ardhi itatoa mazao yake, na mbingu zitadondosha umande wake. Vitu hivi vyote nitawapa mabaki ya watu kama urithi wao.