Matthew 19:20
Yule kijana akasema, “Hizi zote nimezishika. Je, bado nimepungukiwa na nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The young man saith unto him, All these things have I kept from my youth up: what lack I yet?
In Context
19waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako.”
Cross References
Mark 10:20Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Luke 15:29Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Tazama! Miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana-mbuzi ili nifurahi na rafiki zangu.
Luke 18:21Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Romans 3:19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.
Galatians 3:24Hivyo, sheria ilikuwa kiongozi kutufikisha kwa Kristo, ili tupate kuhesabiwa haki kwa imani.