Mika 1:12
Wale waishio Marothi wanagaagaa kwa maumivu 2 wakingoja msaada, 1 kwa sababu maangamizi yamekuja 2 kutoka kwa Bwana, 2 hata katika lango la Yerusalemu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 4:13Alipofika, Eli alikuwa ameketi juu ya kiti chake kando ya barabara akiangalia, kwa sababu moyo wake ulikuwa na hofu kwa ajili ya Sanduku la Mungu. Mtu yule alipoingia mjini na kueleza kilichokuwa kimetokea, mji wote ukalia.
Isaiah 45:7Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, 2 ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. 2 Mimi, Bwana, huyatenda haya yote. 1
Jeremiah 8:15Tulitegemea amani, 2 lakini hakuna jema lililokuja, 1 tulitegemea wakati wa kupona, 2 lakini kulikuwa hofu tu. 1
Amos 3:6Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, 2 watu hawatetemeki? 1 Mji upatwapo na maafa, 2 je, si Bwana amesababisha? 1