The Bible Software
bible.softwareNahumNahum 1 › Nahum 1:13

Nahum 1:13

Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, 2 nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For now will I break his yoke from off thee, and will burst thy bonds in sunder.

In Context

12Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ingawa wana muungano nao ni wengi sana, 2 watakatiliwa mbali na kuangamia. 1 Ingawa nimekutesa wewe, ee Yuda, 2 sitakutesa tena. 1

14Hii ndiyo amri Bwana aliyoitoa kukuhusu wewe, Ninawi: 2 “Hutakuwa na wazao 2 watakaoendeleza jina lako. 1 Nitaharibu sanamu za kuchonga na sanamu za kuyeyusha 2 ambazo zipo katika hekalu la miungu yenu. 1 Nitaandaa kaburi lako, 2 kwa maana wewe ni mwovu kabisa.” 1

Read all of Nahum 1

Cross References

Leviticus 26:13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 1 Adhabu Ya Kutokutii (Kumbukumbu 28:15-68)

Isaiah 9:4Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

Isaiah 14:25Nitamponda Mwashuru katika nchi yangu, 2 juu ya milima yangu nitawakanyagia chini. 1 Nira yake itaondolewa kutoka kwa watu wangu, 2 nao mzigo wake utaondolewa kutoka mabegani mwao.” 1

Jeremiah 5:5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahum 1:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahum 1:12Nahum 1Nahum 1:14 →