The Bible Software
bible.software › Nahumu › Nahumu 1 › Nahumu 1:14

Nahumu 1:14

Hii ndiyo amri Bwana aliyoitoa kukuhusu wewe, Ninawi: 2 “Hutakuwa na wazao 2 watakaoendeleza jina lako. 1 Nitaharibu sanamu za kuchonga na sanamu za kuyeyusha 2 ambazo zipo katika hekalu la miungu yenu. 1 Nitaandaa kaburi lako, 2 kwa maana wewe ni mwovu kabisa.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD hath given a commandment concerning thee, that no more of thy name be sown: out of the house of thy gods will I cut off the graven image and the molten image: I will make thy grave; for thou art vile.

In Context

13Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako, 2 nami nitazivunjilia mbali pingu zako.” 1

15Tazama, huko juu milimani, 2 miguu ya huyo mmoja aletaye habari njema, 2 ambaye anatangaza amani! 1 Ee Yuda, sherehekea sikukuu zako, 2 nawe utimize nadhiri zako. 1 Waovu hawatakuvamia tena; 2 wataangamizwa kabisa.

Read all of Nahumu 1

Cross References

Exodus 12:12“Usiku huo huo nitapita katika nchi yote ya Misri na kumuua kila mzaliwa wa kwanza, wa wanadamu na wa wanyama, nami nitaihukumu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Bwana.

1 Samuel 3:13Kwa kuwa nilimwambia kwamba ningehukumu jamaa yake milele kwa sababu ya dhambi aliyoijua, wanawe kumkufuru Mungu, naye akashindwa kuwazuia.

2 Chronicles 32:21Naye Bwana akamtuma malaika ambaye aliangamiza wanajeshi wote, na viongozi na maafisa katika kambi ya mfalme wa Ashuru. Kwa hiyo, mfalme wa Ashuru akarudi nchini mwake kwa aibu. Naye alipokwenda katika hekalu la mungu wake, baadhi ya watoto wake wakamuua kwa upanga.

Psalms 109:13Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1

Isaiah 14:20Hutajumuika nao kwenye mazishi, 1 kwa kuwa umeharibu nchi yako 2 na kuwaua watu wako. 1 Mzao wa mwovu 2 hatatajwa tena kamwe. 1

Isaiah 33:13Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya; 2 ninyi mlio karibu, tambueni uweza wangu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 1:13Nahumu 1Nahumu 1:15 →