The Bible Software
bible.softwareObadiahObadiah 1 › Obadiah 1:7

Obadiah 1:7

Wote ulioungana nao watakufukuza hadi mpakani, 2 rafiki zako watakudanganya na kukushinda, 1 wale wanaokula mkate wako watakutegea mtego, 2 lakini hutaweza kuugundua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All the men of thy confederacy have brought thee even to the border: the men that were at peace with thee have deceived thee, and prevailed against thee; they that eat thy bread have laid a wound under thee: there is none understanding in him.

In Context

6Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, 2 jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! 1

8“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 2 “je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu, 2 watu wenye ufahamu katika milima ya Esau? 1

Read all of Obadiah 1

Cross References

Psalms 41:10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie, 2 ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 1

Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1

Jeremiah 4:30Unafanya nini, ewe uliyeharibiwa? 2 Kwa nini unajivika vazi jekundu 2 na kuvaa vito vya dhahabu? 1 Kwa nini unapaka macho yako rangi? 2 Unajipamba bure. 1 Wapenzi wako wanakudharau, 2 wanautafuta uhai wako. 1

Jeremiah 30:14Wale walioungana nawe wote wamekusahau, 2 hawajali chochote kukuhusu wewe. 1 Nimekupiga kama vile adui angelifanya, 2 na kukuadhibu kama vile mtu mkatili angelifanya, 1 kwa sababu hatia yako ni kubwa mno 2 na dhambi zako ni nyingi sana. 1

Jeremiah 49:7Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Je, hakuna tena hekima katika Temani? 2 Je, shauri limewapotea wenye busara? 2 Je, hekima yao imechakaa? 1

Ezekiel 23:22“Kwa hiyo, Oholiba, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitawachochea wapenzi wako wawe kinyume na wewe, wale uliowaacha kwa kuchukia, nitawaleta dhidi yako kutoka kila upande:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadiah 1:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadiah 1:6Obadiah 1Obadiah 1:8 →