Yeremia 4:30
Unafanya nini, ewe uliyeharibiwa? 2 Kwa nini unajivika vazi jekundu 2 na kuvaa vito vya dhahabu? 1 Kwa nini unapaka macho yako rangi? 2 Unajipamba bure. 1 Wapenzi wako wanakudharau, 2 wanautafuta uhai wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 9:30Kisha Yehu akaenda Yezreeli. Yezebeli aliposikia habari hii, akayapaka macho yake rangi, akatengeneza nywele zake na kutazama nje dirishani.
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Isaiah 33:14Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu, 2 kutetemeka kumewakumba wasiomcha Mungu: 1 “Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto ulao? 2 Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto unaowaka milele?” 1
Jeremiah 13:21Utasema nini Bwana atakapowaweka juu yako 2 wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? 1 Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke 2 aliye katika utungu wa kuzaa? 1
Jeremiah 22:23Wewe uishiye Lebanoni, 2 wewe uliyetulia kwenye majengo ya mierezi, 1 tazama jinsi utakavyoomboleza 2 maumivu makali yatakapokupata, 1 maumivu kama yale ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa!
Lamentations 1:2Kwa uchungu, hulia sana usiku, 2 machozi yapo kwenye mashavu yake. 1 Miongoni mwa wapenzi wake wote 2 hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Rafiki zake wote wamemsaliti, 2 wamekuwa adui zake. 1