Obadia 1:8
“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 2 “je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu, 2 watu wenye ufahamu katika milima ya Esau? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 33:10Bwana huzuia mipango ya mataifa, 2 hupinga makusudi ya mataifa. 1
Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1
Isaiah 19:13Maafisa wa Soani wamekuwa wapumbavu, 2 viongozi wa Memfisi + 19:13 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. wamedanganyika, 1 walio mawe ya pembe ya taifa lake 2 wameipotosha Misri. 1
1 Corinthians 3:19Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,”