Isaiah 19:13
Maafisa wa Soani wamekuwa wapumbavu, 2 viongozi wa Memfisi + 19:13 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. wamedanganyika, 1 walio mawe ya pembe ya taifa lake 2 wameipotosha Misri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1
Jeremiah 44:1Neno hili lilimjia Yeremia kuhusu Wayahudi wote waishio Misri, huko Migdoli, Tahpanhesi na Memfisi, + 44:1 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. katika nchi ya Pathrosi + 44:1 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. kusema:
Jeremiah 46:19Funga mizigo yako kwenda uhamishoni, 2 wewe ukaaye Misri, 1 kwa kuwa Memfisi utaangamizwa 2 na kuwa magofu pasipo mkazi. 1
Ezekiel 30:16Nitaitia moto nchi ya Misri; 2 Pelusiumu itagaagaa kwa maumivu makuu. 1 Thebesi itachukuliwa na tufani, 2 Memfisi itakuwa katika taabu daima. 1
Zechariah 10:4Kutoka Yuda litatokea Jiwe la pembeni, 2 kutoka kwake vitatoka vigingi vya hema, 2 kutoka kwake utatoka upinde wa vita, 2 kutoka kwake atatoka kila mtawala. 1