The Bible Software
bible.softwareWafilipiWafilipi 2 › Wafilipi 2:26

Wafilipi 2:26

Kwa maana amekuwa akiwaonea sana shauku ninyi nyote, akiwa na wasiwasi kwa kuwa mlisikia kwamba alikuwa mgonjwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he longed after you all, and was full of heaviness, because that ye had heard that he had been sick.

In Context

25Lakini nadhani ni muhimu kumtuma tena kwenu Epafrodito, ndugu yangu na mtendakazi pamoja nami, aliye askari mwenzangu, ambaye pia ni mjumbe wenu mliyemtuma ili ashughulike na mahitaji yangu.

27Kweli alikuwa mgonjwa, tena karibu ya kufa. Lakini Mungu alimhurumia, wala si yeye tu, bali hata na mimi alinihurumia, nisipatwe na huzuni juu ya huzuni.

Read all of Wafilipi 2

Cross References

2 Samuel 13:39Roho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.

Job 9:27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, 2 nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 1

Proverbs 12:25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, 2 bali neno la huruma humfurahisha. 1

Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

John 11:35Yesu akalia machozi.

Romans 1:11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wafilipi 2:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wafilipi 2:25Wafilipi 2Wafilipi 2:27 →