Philippians 2:27
Kweli alikuwa mgonjwa, tena karibu ya kufa. Lakini Mungu alimhurumia, wala si yeye tu, bali hata na mimi alinihurumia, nisipatwe na huzuni juu ya huzuni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Psalms 30:10Ee Bwana, unisikie na kunihurumia, 2 Ee Bwana, uwe msaada wangu.” 1
Psalms 103:3akusamehe dhambi zako zote, 2 akuponya magonjwa yako yote, 1
Ecclesiastes 9:1Kwa hiyo niliyatafakari yote haya nikafikia uamuzi kwamba waadilifu na wenye hekima na yale wanayoyafanya yako mikononi mwa Mungu, lakini hakuna mtu ajuaye kama anangojewa na upendo au chuki.
Isaiah 38:17Hakika ilikuwa ya faida yangu 2 ndiyo maana nikapata maumivu makali. 1 Katika upendo wako ukaniokoa 2 kutoka shimo la uharibifu; 1 umeziweka dhambi zangu zote 2 nyuma yako. 1
Jeremiah 8:18Ee Mfariji wangu katika huzuni, 2 moyo wangu umezimia ndani yangu. 1