Proverbs 12:14
Kutokana na tunda la midomo yake 2 mtu hujazwa na mambo mema, 2 hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, 2 bali mwenye haki huepuka taabu. 1
Cross References
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1
Proverbs 13:2Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, 2 bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri. 1
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
Jeremiah 21:14Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, 4 asema Bwana. 1 Nitawasha moto katika misitu yenu 2 ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”
Matthew 16:27Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake, naye ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.