Proverbs 13:14
Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The law of the wise is a fountain of life, to depart from the snares of death.
In Context
13Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi, 2 bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. 1
15Ufahamu mzuri hupata upendeleo, 2 bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 1
Cross References
2 Samuel 22:6Kamba za kuzimu + 22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, maana yake ni Shimo lisilo na mwisho. zilinizunguka, 2 mitego ya mauti ilinikabili. 1
Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1
Proverbs 10:11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 15:24Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima 2 kumwepusha asiende chini kaburini. 1
Proverbs 16:17Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; 2 yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 1