Proverbs 13:17
Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu, 2 bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A wicked messenger falleth into mischief: but a faithful ambassador is health.
In Context
16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, 2 bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 1
18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, 2 bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. 1
Cross References
Proverbs 10:26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1
Proverbs 25:23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, 2 ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 1
Jeremiah 23:13“Miongoni mwa manabii wa Samaria 2 nililiona jambo la kuchukiza: 1 Walitabiri kwa Baali 2 na kuwapotosha Israeli watu wangu. 1
Ezekiel 3:18Nimwambiapo mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ na wewe usipomwonya mtu huyo au kumshauri aache njia zake mbaya ili kuokoa maisha yake, huyo mtu mwovu atakufa katika dhambi yake na damu yake nitaidai mkononi mwako.
1 Corinthians 4:2Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
2 Corinthians 5:20Kwa hiyo sisi ni mabalozi wa Kristo, kana kwamba Mungu anawasihi kupitia kwa vinywa vyetu. Nasi twawaomba sana ninyi kwa niaba ya Kristo, mpatanishwe na Mungu.