Proverbs 14:15
Mtu mjinga huamini kila kitu, 2 bali mwenye busara hufikiria hatua zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The simple believeth every word: but the prudent man looketh well to his going.
In Context
16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, 2 bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 1
Cross References
2 Samuel 1:5Ndipo Daudi akamwambia huyo kijana aliyemletea taarifa, “Je, umefahamuje kwamba Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa?”
Nehemiah 6:4Mara nne walinitumia ujumbe wa namna iyo hiyo, na kila mara niliwapa jibu lile lile.
Proverbs 14:8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Proverbs 27:12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. 1
Acts 13:7Mtu huyu alikuwa pamoja na Sergio Paulo, mtu mwenye hekima aliyekuwa msaidizi wa mwakilishi wa mtawala wa kile kisiwa. Sergio Paulo akawaita Sauli na Barnaba akitaka kusikia neno la Mungu.
Ephesians 4:14Ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwatupwa huku na huku na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho kwa hila za watu, kwa ujanja, kwa kufuata njia zao za udanganyifu.