The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 15 › Proverbs 15:24

Proverbs 15:24

Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima 2 kumwepusha asiende chini kaburini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The way of life is above to the wise, that he may depart from hell beneath.

In Context

23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1

25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, 2 bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 1

Read all of Proverbs 15

Cross References

Psalms 139:24Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, 2 uniongoze katika njia ya milele.

Proverbs 5:5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; 2 hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. + 5:5 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1

Proverbs 7:27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini, + 7:27 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.

Proverbs 23:14Mwadhibu kwa fimbo 2 na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini. + 23:14 Mautini maana yake ni Kuzimu. 1

Matthew 7:14Lakini mlango ni mwembamba na njia ni finyu ielekeayo kwenye uzima, nao ni wachache tu waionao. 1 Mti Na Tunda Lake (Luka 6:43-44)

Philippians 3:20Lakini uenyeji wetu uko mbinguni. Nasi tunamngoja kwa shauku Mwokozi kutoka huko, yaani, Bwana Yesu Kristo,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 15:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 15:23Proverbs 15Proverbs 15:25 →