Proverbs 15:28
Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, 2 bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The heart of the righteous studieth to answer: but the mouth of the wicked poureth out evil things.
In Context
27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, 2 bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 1
29Bwana yuko mbali na waovu, 2 bali husikia maombi ya wenye haki. 1
Cross References
1 Kings 3:23Mfalme akasema, “Huyu anasema, ‘Mwanangu ndiye aliye hai, na aliyekufa ndiye mwanao,’ maadamu yule anasema, ‘Hapana! Aliyekufa ni wako, na aliye hai ni wangu.’ ”
Proverbs 10:32Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa, 2 bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu.
Proverbs 15:2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
Proverbs 29:11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1
Ecclesiastes 5:2Usiwe mwepesi kuzungumza, 2 usiwe na haraka katika moyo wako 2 kuzungumza lolote mbele za Mungu. 1 Mungu yuko mbinguni 2 nawe uko duniani, 1 kwa hiyo maneno yako 2 na yawe machache. 1
Ecclesiastes 10:12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima 2 yana neema, 2 bali mpumbavu huangamizwa 2 na midomo yake mwenyewe. 1