Proverbs 20:28
Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, 2 kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Mercy and truth preserve the king: and his throne is upholden by mercy.
In Context
27Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, 2 huchunguza utu wake wa ndani. 1
29Utukufu wa vijana ni nguvu zao, 2 mvi ni fahari ya uzee. 1
Cross References
Psalms 21:7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; 2 kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 1
Psalms 61:7Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; 2 amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde. 1
Proverbs 3:3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; 2 vifunge shingoni mwako, 2 viandike katika ubao wa moyo wako. 1
Proverbs 16:12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1
Isaiah 16:5Kwa upendo kiti cha enzi kitaimarishwa, 2 kwa uaminifu mtu ataketi juu yake, 2 yeye atokaye nyumba ya Daudi: 1 yeye ambaye katika kuhukumu hutafuta haki, 2 na huhimiza njia ya haki. 1