Proverbs 24:1
Usiwaonee wivu watu waovu, 2 usitamani ushirika nao; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not thou envious against evil men, neither desire to be with them.
In Context
2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, 2 nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 1
Cross References
Genesis 13:10Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Psalms 26:9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, 2 wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, 1
Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Proverbs 4:14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu 2 wala usitembee katika njia ya watu wabaya. 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1