Proverbs 23:7
kwa maana yeye ni aina ya mtu 2 ambaye kila mara anafikiri juu ya gharama. 1 Anakuambia, “Kula na kunywa,” 2 lakini moyo wake hauko pamoja nawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Usile chakula cha mtu mchoyo, 2 usitamani vyakula vyake vitamu, 1
8Utatapika kile kidogo ulichokula, 2 nawe utakuwa umepoteza bure 2 maneno yako ya kumsifu. 1
Cross References
2 Samuel 13:26Basi Absalomu akasema, “Kama hutakuja, tafadhali mruhusu ndugu yangu Amnoni twende pamoja naye.” Mfalme akamuuliza, “Kwa nini aende pamoja nawe?”
Psalms 55:21Mazungumzo yake ni laini kama siagi, 2 hata hivyo vita vimo moyoni mwake. 1 Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, 2 hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa. 1
Proverbs 26:23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo 2 ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 1
Matthew 9:3Kwa ajili ya jambo hili, baadhi ya walimu wa sheria wakasema mioyoni mwao, “Huyu mtu anakufuru!”
Luke 11:37Yesu alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Yesu akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani.