The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 30 › Proverbs 30:4

Proverbs 30:4

Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? 2 Ni nani ameshakusanya upepo 2 kwenye vitanga vya mikono yake? 1 Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? 2 Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? 1 Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? 2 Niambie kama unajua! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath ascended up into heaven, or descended? who hath gathered the wind in his fists? who hath bound the waters in a garment? who hath established all the ends of the earth? what is his name, and what is his son’s name, if thou canst tell?

In Context

3Sijajifunza hekima, 2 wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu. 1

5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; 2 yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 1

Read all of Proverbs 30

Cross References

Genesis 32:29Yakobo akasema, “Tafadhali niambie jina lako.” Lakini akajibu, “Kwa nini kuniuliza Jina langu?” Ndipo akambariki huko.

Exodus 6:3Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, + 6:3 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.

Deuteronomy 28:58Kama hutafuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la Bwana Mungu wako,

Judges 13:18Akamjibu, “Kwa nini unauliza Jina langu? Ni Jina la ajabu.”

Job 11:8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? 2 Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: 2 wewe waweza kujua nini? 1

Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 30:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 30:3Proverbs 30Proverbs 30:5 →