Proverbs 9:18
Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, 2 kwamba wageni wake huyo mwanamke 2 wako katika vilindi vya kuzimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he knoweth not that the dead are there; and that her guests are in the depths of hell.
In Context
17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1
Cross References
Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1
Proverbs 2:18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo 2 na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 1
Proverbs 6:26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, 2 hata ukose kipande cha mkate, 2 naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa. 1
2 Peter 3:5Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, ya kwamba kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji.