The Bible Software
bible.softwareZaburiZaburi 13 › Zaburi 13:2

Zaburi 13:2

Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, 2 na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? 2 Adui zangu watanishinda mpaka lini? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How long shall I take counsel in my soul, having sorrow in my heart daily? how long shall mine enemy be exalted over me?

In Context

1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1

3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1

Read all of Zaburi 13

Cross References

1 Samuel 18:29Sauli akazidi kumwogopa Daudi, naye Sauli akabaki kuwa adui yake siku zote za maisha yake.

Nehemiah 2:2Basi mfalme akaniuliza, “Kwa nini uso wako unaonekana una huzuni wakati wewe si mgonjwa? Jambo hili si kitu kingine bali ni huzuni ya moyo.” Niliogopa sana,

Job 7:12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, 2 hata uniweke chini ya ulinzi? 1

Job 9:27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, 2 nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 1

Job 23:8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; 2 nikienda magharibi, simpati. 1

Psalms 7:2la sivyo watanirarua kama simba 2 na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 13:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 13:1Zaburi 13Zaburi 13:3 →