Psalms 69:21
Waliweka nyongo katika chakula changu 2 na walinipa siki nilipokuwa na kiu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They gave me also gall for my meat; and in my thirst they gave me vinegar to drink.
In Context
22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, 2 nayo iwe upatilizo na tanzi. 1
Cross References
Deuteronomy 29:18Hakikisheni kwamba hakuna mwanaume au mwanamke, ukoo au kabila miongoni mwenu leo ambalo moyo wake utamwacha Bwana Mungu wetu, kwenda kuabudu miungu ya mataifa hayo. Hakikisheni hakuna mzizi miongoni mwenu unaotoa sumu chungu ya namna hii.
Jeremiah 8:14“Kwa nini tunaketi hapa? 2 Kusanyikeni pamoja! 1 Tukimbilie kwenye miji yenye maboma, 2 tukaangamie huko! 1 Kwa kuwa Bwana, Mungu wetu 2 ametuhukumu kuangamia, 1 na kutupa maji yenye sumu tunywe, 2 kwa sababu tumemtenda dhambi. 1
Jeremiah 23:15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo kuhusu manabii: 1 “Nitawafanya wale chakula kichungu 2 na kunywa maji yaliyotiwa sumu, 1 kwa sababu kutokana na manabii wa Yerusalemu 2 kutokumcha Mungu kumeenea katika nchi yote.”
Lamentations 1:9Uchafu wake umegandamana na nguo zake; 2 hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye. 1 Anguko lake lilikuwa la kushangaza, 2 hapakuwepo na yeyote wa kumfariji. 1 “Tazama, Ee Bwana, teso langu, 2 kwa maana adui ameshinda.” 1
Matthew 27:48Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe.
Mark 15:36Mtu mmoja akaenda mbio, akachovya sifongo kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe, akisema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumshusha kutoka hapo msalabani.”