Zaburi 78:49
Aliwafungulia hasira yake kali, 2 ghadhabu yake, hasira na uadui, 2 na kundi la malaika wa kuharibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, 2 akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 1
50Aliitengenezea njia hasira yake, 2 hakuwaepusha na kifo, 2 bali aliwaachia tauni. 1
Cross References
Exodus 15:7Katika ukuu wa utukufu wako, 2 ukawaangusha chini wale waliokupinga. 1 Uliachia hasira yako kali, 2 ikawateketeza kama kapi. 1
1 Kings 22:21Mwishoni, pepo mchafu akajitokeza, akasimama mbele za Bwana na kusema, ‘Nitamshawishi.’
Job 2:6Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake.”
Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
Lamentations 4:11Bwana ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake; 2 ameimwaga hasira yake kali. 1 Amewasha moto katika Sayuni 2 ambao umeteketeza misingi yake. 1
Romans 2:8Lakini kwa wale watafutao mambo yao wenyewe na wale wanaokataa kweli na kuzifuata njia mbaya, kutakuwa na ghadhabu na hasira ya Mungu.