The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 12 › Zekaria 12:6

Zekaria 12:6

“Katika siku hiyo nitawafanya viongozi wa Yuda kuwa kama kigae cha moto ndani ya lundo la kuni, kama mwenge uwakao kati ya miganda. Watateketeza kulia na kushoto mataifa yote yanayowazunguka, lakini Yerusalemu utabaki salama mahali pake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In that day will I make the governors of Judah like an hearth of fire among the wood, and like a torch of fire in a sheaf; and they shall devour all the people round about, on the right hand and on the left: and Jerusalem shall be inhabited again in her own place, even in Jerusalem.

In Context

5Kisha viongozi wa Yuda watasema mioyoni mwao, ‘Watu wa Yerusalemu wana nguvu kwa sababu Bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu wao.’

7“ Bwana atayaokoa makao ya Yuda kwanza, ili heshima ya nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu isiwe kubwa zaidi kuliko ile ya Yuda.

Read all of Zekaria 12

Cross References

Psalms 149:6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao 2 na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 1

Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

Isaiah 54:3Kwa maana utaenea upande wa kuume 2 na upande wa kushoto; 1 wazao wako watayamiliki mataifa 2 na kukaa katika miji yao iliyoachwa ukiwa. 1

Jeremiah 31:38“Siku zinakuja,” asema Bwana, “wakati mji huu utajengwa upya kwa ajili yangu, kuanzia mnara wa Hananeli hadi Lango la Pembeni.

Daniel 2:34Ulipokuwa unaangalia, jiwe lilikatwa, lakini si kwa mikono ya mwanadamu. Lile jiwe liliipiga ile sanamu kwenye nyayo zake za chuma na udongo wa mfinyanzi, na kuivunja.

Obadiah 1:18Nyumba ya Yakobo itakuwa moto, 2 na nyumba ya Yosefu itakuwa mwali wa moto; 1 nayo nyumba ya Esau itakuwa bua kavu, 2 nao wataiwasha moto na kuiteketeza. 1 Hakutakuwa na watakaosalimika 2 kutoka nyumba ya Esau.” 4 Bwana amesema. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 12:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 12:5Zekaria 12Zekaria 12:7 →