Zechariah 2:8
Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Baada ya yeye kuniheshimu na kunituma mimi dhidi ya mataifa yaliyokuteka nyara, kwa kuwa yeyote awagusaye ninyi, anaigusa mboni ya jicho lake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Cross References
Deuteronomy 32:10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1
Psalms 17:8Nilinde kama mboni ya jicho lako, 2 unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako 1
Isaiah 48:15Mimi, naam, Mimi, nimenena; 2 naam, nimemwita yeye. 1 Nitamleta, 2 naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.
Isaiah 60:7Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, 2 kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, 1 watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu, 2 nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 1
Jeremiah 51:34“Nebukadneza mfalme wa Babeli ametula, 2 ametufanya tuchangayikiwe, 2 ametufanya tuwe gudulia tupu. 1 Kama nyoka ametumeza 2 na kujaza tumbo lake kwa vyakula vyetu vizuri, 2 kisha akatutapika. 1
Ezekiel 25:12“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Edomu ulilipiza kisasi juu ya nyumba ya Yuda na kukosa sana kwa kufanya hivyo,