Zechariah 2:9
hakika nitauinua mkono wangu dhidi yao ili watumwa wao wawateke nyara. Ndipo mtakapojua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 4:5Kisha Bwana ataumba juu ya Mlima wote wa Sayuni, na juu ya wale wote wanaokusanyika hapo, wingu la moshi wakati wa mchana, na kungʼaa kwa miali ya moto wakati wa usiku, nako juu ya huo utukufu wote kutatanda kifuniko cha ulinzi.
Isaiah 11:15Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1
Isaiah 13:2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, 2 wapazieni sauti, 1 wapungieni mkono waingie 2 katika malango ya wenye heshima. 1
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Isaiah 33:1Ole wako wewe, ee mharabu, 2 wewe ambaye hukuharibiwa! 1 Ole wako, ee msaliti, 2 wewe ambaye hukusalitiwa! 1 Utakapokwisha kuharibu, 2 utaharibiwa; 1 utakapokwisha kusaliti, 2 utasalitiwa. 1
Isaiah 33:23Kamba zenu za merikebu zimelegea: 2 Mlingoti haukusimama imara, 2 nalo tanga halikukunjuliwa. 1 Wingi wa mateka yatagawanywa, 2 hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara. 1