The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 6 › Amos 6:13

Amos 6:13

ninyi mnaoshangilia kushindwa kwa Lo-Debari 2 na kusema, “Je, hatukuteka Karnaimu kwa nguvu zetu wenyewe?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye which rejoice in a thing of nought, which say, Have we not taken to us horns by our own strength?

In Context

12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1

14Maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asema, 2 “Nitainua taifa dhidi yenu, ee nyumba ya Israeli, 1 nalo litawatesa kuanzia Lebo-Hamathi 2 hadi Bonde la Araba.”

Read all of Amos 6

Cross References

Exodus 32:18Mose akajibu: 1 “Si sauti ya ushindi, 2 wala si sauti ya kushindwa; 2 ni sauti ya kuimba ninayosikia.”

Judges 9:27Wakaenda mashambani mwao kuvuna zabibu na kuzisindika hizo zabibu, wakafanya sikukuu katika hekalu la mungu wao. Wakati wakila na kunywa, wakamlaani Abimeleki.

1 Samuel 4:5Wakati Sanduku la Agano la Bwana lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika.

2 Kings 14:12Yuda ikashindwa na Israeli, na kila mtu akakimbilia nyumbani kwake.

2 Chronicles 28:6Kwa siku moja Peka mwana wa Remalia aliwaua askari 120,000 katika Yuda, kwa kuwa Yuda walikuwa wamemwacha Bwana, Mungu wa baba zao.

Job 31:25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, 2 ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 6:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 6:12Amos 6Amos 6:14 →