Hosea 10:4
Wanaweka ahadi nyingi, 2 huapa viapo vya uongo 2 wanapofanya mapatano; 1 kwa hiyo mashtaka huchipuka 2 kama magugu ya sumu 2 katika shamba lililolimwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 17:3Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akainuka dhidi ya Mfalme Hoshea, ambaye hapo mbeleni alikuwa mtumwa wake na kumlipa ushuru.
Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1
Ezekiel 17:13Ndipo akamchukua mmoja wa jamaa ya mfalme na kufanya mapatano naye, akamfanya aape. Akawachukua pia viongozi wa nchi,
Hosea 6:7Wamevunja Agano kama Adamu: 2 huko hawakuwa waaminifu kwangu. 1
Amos 6:12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1
Romans 1:31wajinga, wasioamini, wasio na huruma na wakatili.