Mhubiri 2:17
Kwa hiyo nikachukia maisha, kwa sababu kazi inayofanyika chini ya jua ilikuwa masikitiko kwangu. Yote hayo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 11:15Kama hivi ndivyo unavyonitendea, uniue sasa hivi, yaani kama nimepata kibali machoni pako, wala usiniache nione maangamizi yangu mwenyewe.”
Job 3:20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, 2 na hao wenye uchungu kupewa uhai, 1
Job 7:16Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi. 2 Niache; siku zangu ni ubatili. 1
Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1
Ecclesiastes 2:11Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1
Ecclesiastes 3:16Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Mahali pa kutolea hukumu, 2 uovu ulikuwepo, 1 mahali pa kupatia haki, 2 uovu ulikuwepo.