Hosea 10:2
Moyo wao ni mdanganyifu, 2 nao sasa lazima wachukue hatia yao. 1 Bwana atabomoa madhabahu zao 2 na kuharibu mawe yao ya ibada. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 23:24Usiisujudie miungu yao, au kuiabudu, wala kufuata desturi yao. Utayabomoa kabisa na kuvunjavunja mawe yao ya ibada vipande vipande.
1 Samuel 5:4Lakini asubuhi iliyofuata, walipoamka kumbe, walimkuta huyo Dagoni ameanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Bwana! Kichwa chake na mikono vilikuwa vimevunjwa navyo vimelala kizingitini, ni kiwiliwili chake tu kilichokuwa kimebaki.
Proverbs 11:18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, 2 bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 1
Jeremiah 43:13Humo ndani ya hekalu la jua + 43:13 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Hosea 7:8“Efraimu anajichanganya na mataifa; 2 Efraimu ni mkate ambao haukuiva. 1
Hosea 10:5Watu wanaoishi Samaria huogopa 2 kwa ajili ya sanamu ya ndama ya Beth-Aveni. + 10:5 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Watu wake wataiombolezea, 2 vivyo hivyo kuhani wake wa kuabudu sanamu, 1 wale waliokuwa wamefurahia fahari yake, 2 kwa sababu itaondolewa kutoka kwao 2 kwenda uhamishoni. 1