The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 10 › Hosea 10:5

Hosea 10:5

Watu wanaoishi Samaria huogopa 2 kwa ajili ya sanamu ya ndama ya Beth-Aveni. + 10:5 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Watu wake wataiombolezea, 2 vivyo hivyo kuhani wake wa kuabudu sanamu, 1 wale waliokuwa wamefurahia fahari yake, 2 kwa sababu itaondolewa kutoka kwao 2 kwenda uhamishoni. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The inhabitants of Samaria shall fear because of the calves of Beth-aven: for the people thereof shall mourn over it, and the priests thereof that rejoiced on it, for the glory thereof, because it is departed from it.

In Context

4Wanaweka ahadi nyingi, 2 huapa viapo vya uongo 2 wanapofanya mapatano; 1 kwa hiyo mashtaka huchipuka 2 kama magugu ya sumu 2 katika shamba lililolimwa. 1

6Itachukuliwa kwenda Ashuru 2 kama ushuru kwa mfalme mkuu. 1 Efraimu atafedheheshwa; 2 Israeli ataaibika kwa ajili ya sanamu zake za mti. 1

Read all of Hosea 10

Cross References

Joshua 7:2Basi Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko waende Ai, karibu na Beth-Aveni mashariki ya Betheli, akawaambia, “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Basi wale watu wakapanda wakaipeleleza Ai.

1 Samuel 4:21Alimwita yule mtoto Ikabodi, + 4:21 Ikabodi maana yake Utukufu wa Bwana umeondoka. akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe.

2 Kings 10:29Hata hivyo, Yehu hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, yaani kuabudu ndama za dhahabu huko Betheli ya Dani.

2 Kings 23:5Akawafukuza makuhani wa kipagani waliokuwa wameteuliwa na wafalme wa Yuda kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu katika miji ya Yuda na ile iliyozunguka Yerusalemu, yaani wale waliofukiza uvumba kwa Baali, kwa jua na mwezi, kwa makundi ya nyota, na jeshi lote la angani.

2 Chronicles 13:8“Hata sasa unapanga kupingana na ufalme wa Bwana ambao uko mikononi mwa wazao wa Daudi. Kweli ninyi ni jeshi kubwa nanyi mnazo ndama za dhahabu Yeroboamu alizozitengeneza kuwa miungu yenu.

Hosea 5:8“Pigeni tarumbeta huko Gibea, 2 baragumu huko Rama. 1 Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni, + 5:8 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 2 ongoza, ee Benyamini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 10:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 10:4Hosea 10Hosea 10:6 →