The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 2 › Micah 2:3

Micah 2:3

Kwa hiyo, Bwana asema: 1 “Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa, 2 ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe. 1 Hamtatembea tena kwa majivuno, 2 kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the LORD; Behold, against this family do I devise an evil, from which ye shall not remove your necks; neither shall ye go haughtily: for this time is evil.

In Context

2Wanatamani mashamba na kuyakamata, 2 pia nyumba na kuzichukua. 1 Wanamlaghai mwanaume nyumba yake, 2 mwanadamu mwenzake urithi wake.

4Siku hiyo watu watawadhihaki, 2 watawafanyia mzaha 2 kwa wimbo huu wa maombolezo: 1 ‘Tumeangamizwa kabisa; 2 mali ya watu wangu imegawanywa. 1 Ameninyangʼanya! 2 Ametoa mashamba yetu kwa wasaliti.’ ” 1

Read all of Micah 2

Cross References

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 5:19kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka, 2 aharakishe kazi yake ili tupate kuiona. 1 Huo mpango wa Aliye Mtakatifu wa Israeli na ukamilike, 2 tena udhihirike ili tupate kuujua.” 1

Isaiah 29:20Wakatili watatoweka na wenye kudhihaki watatokomea, 2 nao wote wenye jicho la uovu watakatiliwa mbali, 1

Jeremiah 13:15Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1

Jeremiah 27:12Nilitoa ujumbe huo huo kwa Sedekia mfalme wa Yuda. Nilisema, “Ingiza shingo yako katika nira ya mfalme wa Babeli, umtumikie yeye na watu wake, nawe utaishi.

Jeremiah 36:23Hata ikawa kila wakati Yehudi alipomaliza kusoma kurasa tatu au nne za hicho kitabu, mfalme alizikata kwa kisu cha mwandishi na kuzitupia motoni, hadi kitabu chote kikateketea.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 2:2Micah 2Micah 2:4 →