The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 31 › Isaiah 31:9

Isaiah 31:9

Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu; 2 kwa kuona bendera ya vita, 2 majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” 1 asema Bwana, 2 ambaye moto wake uko Sayuni, 2 nayo tanuru yake iko Yerusalemu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he shall pass over to his strong hold for fear, and his princes shall be afraid of the ensign, saith the LORD, whose fire is in Zion, and his furnace in Jerusalem.

In Context

8“Ashuru itaanguka kwa upanga ambao si wa mwanadamu; 2 upanga usio wa kibinadamu utawaangamiza. 1 Watakimbia mbele ya upanga 2 na vijana wao wa kiume watafanyizwa kazi kwa lazima. 1

Read all of Isaiah 31

Cross References

Leviticus 6:13Moto lazima uendelee kuwaka juu ya madhabahu mfululizo, kamwe usizimike. 1 Sadaka Ya Nafaka

Deuteronomy 32:37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1

Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

Isaiah 18:3Enyi mataifa yote ya ulimwengu, 2 ninyi mnaoishi duniani 1 wakati bendera itakapoinuliwa milimani, 2 mtaiona, 1 nayo tarumbeta itakapolia, 2 mtaisikia. 1

Isaiah 30:33Tofethi imeandaliwa toka zamani, 2 imewekwa tayari kwa ajili ya mfalme. 1 Shimo lake la moto limetengenezwa kwa kina kirefu 2 na kwa upana mkubwa, 2 likiwa na moto na kuni tele; 1 pumzi ya Bwana, 2 kama kijito cha kiberiti, 2 huuwasha moto.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 31:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 31:8Isaiah 31