Yeremia 22:6
Kwa kuwa hili ndilo Bwana asemalo kuhusu jumba la kifalme la mfalme wa Yuda: 1 “Ingawa uko kama Gileadi kwangu, 2 kama kilele cha Lebanoni, 1 hakika nitakufanya uwe kama jangwa, 2 kama miji ambayo haijakaliwa na watu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 37:25Walipokaa ili wale chakula chao, wakainua macho wakaona msafara wa Waishmaeli ukija kutoka Gileadi. Ngamia wao walikuwa wamepakizwa mizigo ya vikolezo, uvumba na manemane, nao walikuwa njiani kuvipeleka Misri.
Psalms 107:34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, 2 kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 1
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Isaiah 27:10Mji ulio na boma umebaki ukiwa, 2 makao yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. 1 Huko ndama hulisha, 2 huko hujilaza, 2 wanakwanyua matawi yake. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1
Jeremiah 7:34Nitazikomesha sauti za shangwe na furaha, na sauti za bwana arusi na bibi arusi katikati ya miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu, kwa sababu nchi itakuwa ukiwa.