The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 46 › Yeremia 46:6

Yeremia 46:6

Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, 2 wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. 1 Kaskazini, kando ya Mto Frati, 2 wanajikwaa na kuanguka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let not the swift flee away, nor the mighty man escape; they shall stumble, and fall toward the north by the river Euphrates.

In Context

5Je, ninaona nini? 2 Wametiwa hofu, 1 wanarudi nyuma, 2 askari wao wameshindwa. 1 Wanakimbia kwa haraka 2 pasipo kutazama nyuma, 2 tena kuna hofu kuu kila upande,” 4 asema Bwana. 1

7“Ni nani huyu ajiinuaye kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi? 1

Read all of Yeremia 46

Cross References

Judges 4:15Bwana akamfadhaisha Sisera na magari yake yote, pamoja na jeshi lake lote kwa upanga mbele ya Baraka, naye Sisera akaliacha gari lake na kukimbia kwa miguu.

2 Kings 24:7Mfalme wa Misri hakutoka tena katika nchi yake, kwa sababu mfalme wa Babeli alikuwa ameitwaa himaya yake yote, kuanzia Kijito cha Misri hadi Mto Frati. 1 Yehoyakini Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:9-10)

Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1

Ecclesiastes 9:11Nimeona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Si wenye mbio washindao mashindano 2 au wenye nguvu washindao vita, 1 wala si wenye hekima wapatao chakula 2 au wenye akili nyingi wapatao mali, 1 wala wenye elimu wapatao upendeleo, 2 lakini fursa huwapata wote.

Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1

Jeremiah 4:6Onyesheni ishara ili kwenda Sayuni! 2 Kimbilieni usalama pasipo kuchelewa! 1 Kwa kuwa ninaleta maafa kutoka kaskazini, 2 maangamizi ya kutisha.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 46:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 46:5Yeremia 46Yeremia 46:7 →