Yeremia 47:2
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama jinsi maji yanavyoinuka huko kaskazini, 2 yatakuwa mafuriko yenye nguvu sana. 1 Yataifurikia nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake, 2 miji na wale waishio ndani yake. 1 Watu watapiga kelele; 2 wote waishio katika nchi wataomboleza 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Hili ndilo neno la Bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu Wafilisti, kabla Farao hajaishambulia Gaza:
Cross References
Psalms 50:12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, 2 kwa maana ulimwengu ni wangu, 2 pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 1
Psalms 98:7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, 2 dunia na wote wakaao ndani yake. 1
Isaiah 14:31Piga yowe, ee lango! Bweka, ee mji! 2 Yeyukeni, enyi Wafilisti wote! 1 Wingu la moshi linakuja toka kaskazini, 2 wala hakuna atakayechelewa katika safu zake. 1
Isaiah 15:8Mwangwi wa kilio chao umefika hadi mpakani mwa Moabu, 2 kilio chao cha huzuni kimefika hadi Eglaimu, 2 maombolezo yao hadi Beer-Elimu. 1
Isaiah 22:4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1
Isaiah 59:19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1