Lamentations 4:4
Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga 2 umegandamana na kaakaa la kinywa chake, 1 watoto huomba mkate, 2 lakini hakuna yeyote awapaye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:24Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, 2 yateketezayo na tauni ya kufisha; 1 nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, 2 na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. 1
2 Kings 25:3Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Psalms 137:6Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu 2 kama sitakukumbuka wewe, 1 kama nisipokufikiri Yerusalemu 2 kuwa furaha yangu kubwa. 1
Lamentations 1:11Watu wake wote wanalia kwa uchungu 2 watafutapo chakula; 1 wanabadilisha hazina zao kwa chakula 2 ili waweze kuendelea kuishi. 1 “Tazama, Ee Bwana, ufikiri, 2 kwa maana nimedharauliwa.” 1
Lamentations 2:12Wanawaambia mama zao, 2 “Wapi mkate na divai?” 1 wazimiapo kama watu waliojeruhiwa 2 katika barabara za mji, 1 maisha yao yadhoofikavyo 2 mikononi mwa mama zao. 1