The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 4 › Maombolezo 4:5

Maombolezo 4:5

Wale waliokula vyakula vya kifahari 2 ni maskini barabarani. 1 Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau 2 sasa wanalalia majivu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They that did feed delicately are desolate in the streets: they that were brought up in scarlet embrace dunghills.

In Context

4Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga 2 umegandamana na kaakaa la kinywa chake, 1 watoto huomba mkate, 2 lakini hakuna yeyote awapaye. 1

6Adhabu ya watu wangu 2 ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, 1 ambayo ilipinduliwa ghafula 2 bila kuwepo mkono wa msaada. 1

Read all of Maombolezo 4

Cross References

Deuteronomy 28:54Hata yule mtu muungwana sana na makini miongoni mwako hatakuwa na huruma kwa ndugu yake mwenyewe au kwa mke ampendaye au watoto wake waliosalia,

2 Samuel 1:24“Enyi binti za Israeli, 2 lieni kwa ajili ya Sauli, 1 ambaye aliwavika nguo 2 nyekundu na maridadi, 1 ambaye aliremba mavazi yenu 2 kwa mapambo ya dhahabu. 1

Job 24:8Hutota kwa mvua za mlimani, 2 nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 1

Isaiah 3:16Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1

Isaiah 32:9Enyi wanawake wenye kuridhika sana, 2 amkeni na mnisikilize. 1 Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, 2 sikieni lile ninalotaka kuwaambia! 1

Jeremiah 9:21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 4:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 4:4Maombolezo 4Maombolezo 4:6 →